JINA- Bahati Mussa
SHUGHULI ANAYOFANYA: Mwanafunzi CBE
MASOMO ANAYOCHUKUA:Procurement and Supply
CHAKULA ANACHOPENDELEA:Wali Maharagwe na Nyama iliyokaagwa
STAR ANAYEMVUTIA BONGO:Aunty Ezekiel
STAR NJE YA NCHI:Beyonce
MATARAJIO YAKE:Kujiajiri baadae na kuwa mfanyabiashara mkubwa
UJUMBE WAKE: UAMINIFU NA UKWELI NI KITU KIZURI MAISHANI NA ANASISTIZA KUJIAMINI KWANI NDIO SILAHA YA MAFANIKO.
No comments:
Post a Comment