Lakini baada ya mrembo huyo kugungua ni mjamzito aamua kumpa nafasi nyengine Balotelli na kujenga upya mahusiano yao.
Mrembo huyo aliliambia gazeti la The Sun kuwa " Najua kiasi gani Mario ananipenda na mimi nampenda hivyo nimeamua kujenga upya mapenzi yetu.
Mahusiano ya wawili hayo yalianza mapema 2010.Raffaella, ambaye alipatia umaarufu zaidi kwenye Big Brother ya Italia hapo awali alikuwa na mahusiano na Cristiano Ronaldo, aliongeza kuwa ingawa jinsia ya mtoto haijulikani bado, Balotelli ndiye atakaye chagua jina la Mtoto
![]() |
Her small baby bump was visible under a blue T-shirt akitembea mapema jana ndani ya Milani Airport kwa flight |
![]() |
Balotelli Mario Pichani with Serious Face!! |
![]() |
Baby bump: Raffaella Fico akionesha kitumbo chake last week , in Rome |
![]() |
Enzi za mapenzi motomoto wakiwa katika picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment