Saturday, July 14, 2012

BIRTHDAY DINNER YA MAMA MKWE ILIVYOKUA!!

TULIANZA NA ZOEZI LA KEKI!!

Keki ya nguvuuuu ilikua tamu sana!


Mama weeee

Utafikiri sio miaka 64.....hongera sana Mzaa kidume changu!!
Mishumaa ikizimwa


Zoezi la kukata keki likiendelea!

Shemeji langu la ukweeee
Na mimi nilishe mama.....love u!!
Hongera Mama
My wiiii na ubavu wake wakimpongeza mama ....
Kula nawe mziwanda wangu!

Ni kuonyeshana upendo zaidiii
Nami nililishwa
Hongera Mama



Raha ya keki kila mtu aiile hasa ya sherehe!

Mtu na Wajina wake!

Safiiiiii

Brian nae
Bright
Nacky

Zamu ya Brenda

Shost wake wa ukweeee


My wiii

George nae!
Nami nilimlisha kwa niaba ya watoto!





                                    


Tulikula haswaaaaaa!








 MASWALA YA ZAWADI YAKAFWATIA!

















MUDA WA KUJIACHIA NA CAMERA!!


















No comments: