Wednesday, July 11, 2012

BRIAN & BRIGHT CONFIRMATION

kanisani


Pamoja na wazazi wao wa Kimwili na kiroho




 BAADA YA KANISANI MAMBO YALIKUA HAYA!!
Wakiingia ukumbini!

Wapambe walikuwepo wakutosha!


Nilipenda walivyovaa..walitokezea sana!

Wazazi

Wakijipongeza

Hapana chezea mama...swagga!!
Baba Mwenyewe


Wakipongezana

Hongera Zikiendelea

Kila mtu na sit yake.

Si mchezoooo!!

Huyu ndio Bibi wa Brian na Bright

Bibi wamo .....umenoga haswaaaaaa!



Sherehe ni Watu!



Kichwani Hapo mama!!


Wakilisha mama!

Watu ni kufurahia tu!



Hongereni

si mchezoooo

Keki ikipelekwa mahala pake

Muandazi akiweka mambo sawa

Keki ya Bible!

Wakilishana keki

Mama akimpongeza Mwanae!

Wakimlisha mama KeKi


Baba Pia

Mdogo wao

Swahiba mkubwa wa Mdogo wao

Mama wa nguvu

Zoezi likiendelea

Kuonesha upendo Zaidi

Mlipuko kwenye glass


Aunty wa ukweli

hayaaaaaaaa sasa!


Very Smart!!

Bright weee


Nilipenda zaidiiii hapa!

Wow

Mama akijiachia!

Bibi akitunza wazazi


Mashost hawakua nyuma!

Nakupenda mwanangu hongera sana!

Zawadi kutoka kwa wazazi

Safiiiiiii


Akiangalia kwa makini yanayoendelea


Brian pia akifatilia kwa umakini

Mmependeza Sana

Mama na Mwana!!



No comments: