Monday, July 30, 2012

HUYU NDIO MSCHANA WA KICHINA MWENYE UMRI WA MIAKA 16 NA KUVUNJA REKODI YA DUNIA KWA KUOGELA NDANI YA SEKUNDE 28:93 NA KUMPITA MMAREKANI RYAN LOCHTE(27) KWA SEKUNDE MBILI ZAIDI AMBAYE ALISHIKILIA REKODI HIYO KWENYE MASHINDANO YA OLYMPICS

akiogelea hapo kwa kasi ya ajabu mara baada ya hapo alijinyakulia Medari yake za dhahabu!!
 Miss Ye Shiwen (16) Akipongezana na mshiriki mwenzie!! si mchezo kumbuka ni mtoto wa miaka 16 uyo!1



Huyu ndie Ryan Lochte(27)  alipitwa na Ye Shiwen

No comments: