Saturday, July 21, 2012

KABLA YA RAY J, REGGIE, KRIS NA KANYE: MPENZI WA KWANZA WA KIM KARDASHIAN NI MICHAEL JACKSON'S NEPHEW TJ' (TITO JOE JACKSON): PICHA CHINI ZIKIMUONESHA KIM NA WALIOKUA WAPENZI WAKE NA MPENZI WAKE WA SASA KANYE WEST!!

 TJ Jackson .......Uhusiano wao ulidumu miaka 2 kipindi hiko kim alikua bado teenager wa miaka 14!!


Huyu Ndio Alikua Mume wake wa Kwanza, Mtayarishaji wa Music ,Damon Thomas waliachana 2004!!

With Ray J

later enjoyed a on again and off again romance with Reggie Bush


Baadae alifunga ndoa na Kris Humphries iliyodumu siku 72

Na sasa Kajiweka hapa kwa superstar rapper Kanye West


1 comment:

Unknown said...

Nice one...ama kweli you hgave to meet many frogs before getting into your prince!! She seems liking blacks eeeh