MELI YA SEA GULL YAZAMA HUKO CHUMBE KARIBU NA ZANZIBAR!!!R
Meli ya Seagul iliyokuwa ikielekea visiwani Zanzibar ikitoka Dar es
Salaam imezama. Meli hiyo ilitoka Dar es Salaam leo saa 7
mchana ikiwa na abiria karibia 200 na kuzama katika eneo la Chumbe
jirani na Zanzibar. mpaka sasa haijafahamika ajali hiyo imeleta madhara kiasi gani
No comments:
Post a Comment