Pengine Kim anaweza kuja kuolewa tena kwa kile kilichoonekana kuwa, Kim na Kanye ukarabu wao umeongezeka zaidi siku sa ivi karibuni. Akiongea na "In style Magazine" Kim amesema bado hajakata tamaa katika swala la mapenzi ingawa hana bahati kila mara katika swa hilo.
Ameongeza kuwa yeye hajali watu wanafikiria nini kuhusu yeye ila wakae wakijua kua inafikia muda watu hubadilika na kutamani kuwa na maisha ya aina nyengine. ameongeza kuwa angetamnani siku moja angekuwa na watoto wenye baba na mama ndani ya nyumba na kama ikishindikana basi atazaa na kuishi na watoto wake.
Kim amesema yeye na Kanye walikua na urafiki wa muda mrefu ambao ndio mwanzo wa safari yao ya mapenzi,"Nimekuwa ni mtu wa kumpenda mawanaume kwa haraka sana na kila mpenzi niliyekuwa nae huwa napanga mipango ya harusi katika kichwa changu"
No comments:
Post a Comment