Kwa Mujibu wa mtandao wa TMZ Prince Harry alipiga picha izo akiwa nchini Marekani Jijini Las Vegas kwenye Hotel ya kifahari akila bata.
Harry aliwalika washkaji kibao pamoja na mademu ndani ya chumba chake na kucheza michezo mingi ya ajabu iliyopelekea mpaka kuvua nguo na kupiga picha izo.
Mara baada ya picha izo kusambaa watu wengi hawakuamini kama anaweza fanya kituko iko, lakini kikubwa kilichofanya waamini ni cheni(neckless) alovaa kwani kashaonekana nayo sehemu mbalimbali.
![]() |
Cheni hiyo ambayo pia imejionesha kwenye picha za juu hapo |
No comments:
Post a Comment