Thursday, October 11, 2012

HONGERA K-LYNN KWA WATOTO MAPACHA WA KIUME.

Aliyewai kuwa Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-lynn ajifungua watoto mapacha wa kiume.....Sayari Media Tunakutakia kila la heri na Mungu akuongoze kwenye malezi.

No comments: