Tuesday, October 2, 2012

WEMA NA DIAMOND PAMOJA TENA KWENYE CROSS OF LOVE!!!


Wema na Diamond sasa kufanya filamu ya pamoja ambayo itahusu mapenzi zaidi, mbali ya wasanii hao wawili ambao wanahistoria ya kuwa wapenzi , kwenye filamu hiyo msanii wa Muziki ommy Dimpoz nae atakua ndani kuonesha kipaji chake cha uigizaji.

kwa mujibu wa chanzo filamu hiyo imaandaliwa na Sales Mapunda kwa usimamizi mkuu wa step Entertainment.Filamu hii itakua mwanzo wa safari ya diamond kwenye tasnia ya filamu na kutoka kwake ni kucheza na wema.

No comments: