![]() |
CAKE HII ILIKUA TAMUUU SANA THANKS TO AUNTY CATH.. |
![]() |
WAKIINGIA KWENYE UWANJA WA TUKIO |
![]() |
WAKIIMBA WIMBO WAO WA KUMALIZA ELIMU YA AWALI...PROUD OF YOU MY DAUGHTER |
![]() |
AKITOA MUONGOZO KWA WAGENI WAALIKWA WALIMU NA WENGINEO KILE WANACHOWALETEA |
![]() |
FULL MA CONFIDENCE...GO GO GIRL......NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI |
![]() |
LOVE YOU SANAAAAAAAA |
![]() |
CHETI AKIPOKEA.... |
![]() |
FURAHAAAA TELE...YAANI NILIKOMAJE MAANA KILA SIKU NILIKUA NAKUMBUSHWA SIKU YA GRADUATION |
![]() |
NI KI SHOW LOVE KWA ZAWADI |
![]() |
BABA NA MWANA....PROUD OF YOU MY DAUGHTER...NAKUTAKIA KILA LA HERI MUNGU AKUONGOZE ZAIDI |
![]() |
BRENDA NAE AKIMPOKEZA...HUYU NDIE RAFIKI YAKE MKUU |
![]() |
AUNTY NAE HAKUA NYUMA |
![]() |
ODO NAE AKIMPONGEZA |
![]() |
COUSIN BRIGHT NAE AKIONESHA UPENDO |
![]() |
MARAFIKI ZAIDI WAKIMPONGEZA |
![]() |
TEAM NZIMA |
![]() |
NYUMBANI BABA NAE ALIMTAKIA KILA LA HERI KWA MLIPUKO |
![]() |
PONGEZI ZAIDIIII |
![]() |
CAKE IKIKATWA |
![]() |
BRENDA AKILISHWA |
![]() |
HAPANA HAIWEZI KUPITA BILA HUYU......LOVE YOU
LITTLE BROTHER
|
![]() |
DADY NAKUPENDA |
![]() |
MAMA NAMI NILIPATA KIPANDE CHANGU |
![]() |
ASANTE DADA KWA KUNIANDAA KILA SIKU ASUBUHI |
No comments:
Post a Comment