Tuesday, April 16, 2013

CONGRATULATIONS ON YOUR ENGAGEMENT, I’M REAL REALLY LOOKING FORWARD TO YOUR BIG DAY, LOTS OF LOVE MY FRIEND CATHY………………CAN’T WAIT FOR THE WEDDING!!!.

AAAAAa so cute

Madini ya nguvu......

Mama na wana na Mjukuu

Kila la heri Cathy wangu
Wakuwacheeeeeeee
                                 
yaaani nasubiri kwa hamu the big day Mungu akutangulieni

Cute cute

shem

                                             Asante mwanatu kwa kutuletea heshima
Rahaaaaaa
Na uchumba unafungwa hapo ha ha ha ha  apo shemu alikua haioni pete wacha tuchanganyikiwe

Kumbe ilikua kwenye nywele za Cath ha ha ha so creative Mwenyewe alikua hajui aliyembana aliiweka ha ha ha

Ndio nafunga hapa hakuna kuchumbiwa tena

Happy Cathy....Hongera sana!!!

Nawatakia Kila la heri Mungu Awatangulie kwenye kila jambo mfanikishe lengo


Baba na Mama wakiteta!!

Asanteni kwa kuja kumsupport Cathy!!

5 comments:

Karoli said...

Beautiful..beeeautiful!

Unknown said...

I wish u all the best Katy.

U made it to the love of your life.

Yours Percy.

Anonymous said...

Wishing you all the best Katy.

You made it to the love of your life.

Yours Percy.

Maryam said...

A smile can say everything May Almighty ALLAH cherish this smile to you always and to your habby of course LOVE UU MWAAH

Dada Maryam

Magao Katy said...

Thank you so much my dears.