MY SON ....LOVE YOU MNOOOO |
ALITOKA KULALA BASI AKAWA ANASHANGAA NINI TENA MBONA WATU WENGI |
MAMA NA MWANA |
PROUDY MOM ....ASANTE MUNGU
MY FAMILY....... |
HAPPY DAD |
NA WIFI YANGU WA UKWELI...... |
TENDO LA KEKI LIKIENDELEA |
HAPPY 1ST BIRTHDAY SON....MWAAAAAAAA |
UZIMA MISHUMAA ZAIDI YA MIA MWANANGU,MUNGU AKUPE AFYA NA UMRI ZAIDI |
TUKIZIMA MSHUMAA |
AKISAIDIWA NA DADA AKE KUKATA KEKI |
HA HA HA HA APA ALICHUKUA MWENYEWE KIPANDE NA KULA |
BIBI KWABABA |
BIBI KWA MAMA |
MA MKUBWA NAE |
SHANGAZI YANGU PIA APATE |
HII NDIO ILIKUa THEME YA PARTY..........AWWWW WATOTO WALINIFURAISHA KWA KWELI NAO WALIFURAI SANA!!
ASANTE DADA KWA KUMUANGALIA JUNIOR VIZURI...MIMI LOVES YOU SANAAAA!! |
MY DADA |
SWEET |
WAKILISHA JIRANI YANGU |
PENDEZA MAMA HEEM |
SHOSTI WEEE PENDEZA |
WIFI UNAIVA TUUUU |
NIKITUNWA MIE MIJIHELA ASANTENI SANA MASHOST |
NIKIOGA PESAAAAA |
WATOTO WALIENJOY SANA.... |
MA BIBI NAO WALIPEWA ZAWADI NA JUNIOR |
NIKIFURAI NA BIBI NA MWANANGU |
MAMA JAYLA AKISELEBUKA |
LOVE YOU SO MUCH MAMA.......ASANTE KWA YOTE KIPINDI CHA UZAZI WA KANGERO SINA CHA KUKULIPA MAMA ANGU!! |
KILA MTU NI FURAHA TU |
MAMA MKWEEE WEEEEEE WA NGUVU NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA MAMA MKWE MWENYE UPENDO!! |
1 comment:
pendeza sana...love it
Post a Comment