Monday, May 27, 2013

KUTANA NA VICTORY LADIES WALIPOTEMBELEA HOSPITALI YA OCEAN ROAD KUWAFARIJI AKINA MAMA WENYE MATATIZO MBALIMBALI YA CANCER ......MDAU WANGU ANGALIA BAADHI YA PICHA AMBAZO ZINAONYESHA TUKIO ZIMA LILIVYOKUA


VICTORY LADIES ina wanachama 14 wenye lengo la kusaidiana katika shida na raha zinapotokea  bila kusahau maendeleo mbalimbali yanayomuhusu Mwanamke,pia kusaidia jamii  yenye uhitaji au ugumu fulani  pale wanapoweza kufanya ivyo wao kama wao au kuhamasisha wengine wenye uwezo kusaidia.hawa ni baadhi ya wanachama!!

 































































 






                                                         

 






















              BAADA YA ZOEZI ZIMA TULIENDA PATA LUNCH!















1 comment:

Anonymous said...

MUNGU awabariki sana