Wazazi wa kangero
Wazazi wa kirohoo wa Kangero
Mtu na dada ake
Tulianza na chai
The cake
Sala
Cheers
Akimlisha mama Ake Asante sana Nanza Na mumeo Kwa kukubali jukumu hili!!!
Baba wa kiroho
Asanteni sana Marafiki zangu kwa support yenu.......love you Mingii......pamoja sana Miaka yote!!
Awwwwwww my baby Shekinah
Sina Lakusema Zaidi Ya Asante Kwa upendo Ulionesha
Mtu na dada ake...love you Ma binti zangu
BFF
My Baby love you
Mimi na Mwanangu Tuombe uzima kwani nami nilikabithiwa kuwa God Mother of Shekinah....Awwwwww
2 comments:
Very nice Irene....Mungu amsimamie mtoto wetu Kangero
Mlipendeza sana wapenzi sana. Nanza na Mike hongereni kwa jukumu na Mungu awasaidie. Irene na shem Mungu awasimamie mmlee Kangero katika njia impasayo hata akikua asiiache. Friends muendelee na moyo huo huo wa Upendo.
Post a Comment