Pages

Saturday, January 5, 2013

SHUKRANI WADAU WANGU NA SAMAHANI KWA KUWA KIMYA KWA TAKRIBANI WIKI MBILI SASA!!!!

wadau wangu wa sayariMedia, napenda kusema samahani kwa kuwa kimya kwa muda mrefu mambo yalikua mengi ingawa nawakumbuka sana humu, pia nilikua naumwa basi mambo yakawa si mambo. 

Napenda kuwashukuru pia kwa kuendelea kuwa nami mpaka kufikia hapa, zidi kudumbikia humu kwa habari mbalimbali za kukuelimisha kukufurahisha pia. heri ya mwaka mpya Kwenu wote,nawapenda sana

No comments:

Post a Comment