| KATY AKIINGIA UKUMBINI |
| FURAHI BIBI WEEEEEE NI SIKU YAKO |
| BIBI HARUSI WAKE MKIA |
| NDIO NAOLEWA WAPAMBE MNALO.. |
| KWA RAHA ZAKO CHEZAAAA |
| MC ALIKUA DIDA |
| AKIFANYA YAKE DIDA |
| CHECHE KWA KWENDA MBELE |
ZURIANI SASA NATUMAI UTAPATA CHOCHOTE MWANAMKE MSHONO HASA WAKUIGA.....
MWENYEWE NIKIWAKILISHAAAA...................HABARI
NDIO IYO
| MLISEMA SIOLEWI NDIO NAOLEWA SASA.....SALAMU ZIKUFIKIE FUDENGE......... |
| KWA RAHA ZAKOOO MAMIII |
PENDEZA MNOOOOOO
| DADA AKITUPA SALA |
| WAZAZI |
| MKWE WA MIMI....LOVE U MAMA MNOOO KWA KUNIZALIA WA UBAVU!! |
MLIPUKO
| MASHOSTI WAKIMFICHUA MWALI |
MAMA MAMA .......UYOOOO
BIBI
VITUPIO
| CAKE |
| DIDA AKITUPA YAKE....RAHA SANA |
SWAG ZA DIDA HAPANA CHEZEA MKE WA EZDEN
TUKIELEKEA KATIKA ZAWADI YA
MAMA..............USILIE MAMA!!
| ZAWADI KUTOKA KWA MAMA |
POKEA ZAWADI ZETU NA SISI MASHOST
| FAMILIA ILITOA FRIDGE |
ASANTE MAMA KWA YOTE
BLACK IS BEAUTY..... MY WIFI WA UKWELI.......MAMA K !!
SARE ZILIKUA TATU
ISHA NDANI YA NYUMBA
MTU NA WIFIZE......
No comments:
Post a Comment