![]() |
Rapper Coolio's son, Grtis Ivery, 22, |
Baba mtu naye alikamatwa march 9 for outstanding traffic
warrants na aliwekwa jela ambayo mwanae yupo!!
![]() |
Familia Nzima ndio hii |
Mtoto wa kwanza wa rapa Coolio, ambaye alikamatwa Novemba mwaka jana kwa kosa la kuvunja nyumba huko Las Vegas akishirikiana na rafiki yake wa kike ambaye inasemekana ni changudoa na kumlazimisha mpangaji wa nyumba hiyo kujifungia chooni huku mwenzake akiiba vitu vyingine ndani ya nyumba hiyo. kesi hiyo ilipofikia kuna uwezekano mkubwa Grtis Ivey, 22 kutumikia kifungo cha kati ya miaka mitatu na nusu hadi miaka 10 .
Vyanzo vya kutekeleza sheria vimesema kuwa Grtis Ivey, 22 - ambaye alionekana kwenye reality show ya familia ya coolio amekubali kuwa na hatia ya kosa hilo la wizi na hukumu halisi ya kesi ya kijana huyo itajulikana rasmi September 12
No comments:
Post a Comment