Thursday, August 2, 2012

KELVIN WA MOVIE YA HOME ALONE CHOKA MBAYAAA....INASEMEKANA ANATUMIA $6000 KWA MWEZI KATIKA MADAWA YA KULEVYA DAAAAA!!

sayariMedia
 Macaulay Culkin maarufu kama kelvin kama tulivyomfahamu wengi kupitia movie ya home alone hivi ndivyo alivyo...picha hii ilipigwa february mwaka huu!!
sayariMedia
 Enzi za utoto..movie hii ndio wengi tlimfahamu miaka ya 1990.
SayariMedia
Inasemekana matumizi ya madawa yalizidi baada ya kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi Mila Kunis, karbu miezi 18 iliyopita, picha hii imepigwa mwaka 2005!!

No comments: