Yule miss tanzania asiyechuja
ameamua kufata nyayo za wasanii wenzake wanaopata watoto wakiwa nje
ya ndoa.
klyinn aliamua kuachana na
muziki na kuingia katika mahusiano ambayo yamedumu kwa muda mrefu.
hivi sasa klyinn amehama nchi kwa muda ili
kulea mimba yake
No comments:
Post a Comment