ilianza uko kenya na sasa ni kwetu dar es salaam wilaya ya Temeke hata ivyo ripoti ya mwandishi
Salehe Masoud wa Clouds tv kuhusu taarifa ya miili ya watu kung’ang’ania
wakiwa gest house baada ya kufumaniwa, yani ni mwanaume aliekutwa na
mke wa mtu ambapo Masoud ambae yuko kwenye hospitali ya Temeke ambako
watu hao wanadaiwa kupelekwa ameripoti kwamba baadhi ya mashuhuda
wanasema watu hao wamefikishwa hospitali wakiwa wamegandana na
waliteremshwa kwenye gari wakiwa hivyohivyo ingawa uongozi wa hospitali
umekanusha na tayari umeshatoa tamko kwa mamia ya watu waliokusanyika
kwamba sio la kweli, hakuna ukweli wa hizo taarifa.
Baada ya watu kuzidi kuwa wengi
na kila mmoja akitaka kuona hao waliogandana, polisi wamelazimika
kutumia mabomu ya machozi kutawanya mamia ya watu waliofika kushuhudia ambapo inasemekana wawili hao wamehifadhiwa nyuma ya Mochwari.
Hao watu inasemekana walikutwa
wakifanya mapenzi kwenye nyumba moja ya wageni huko Temeke ambapo pamoja
na uongozi wa hospitali kukanusha, inasemekana ukweli umefichwa kwa
sababu ni tendo la aibu na waandishi wa habari wameshajaa tayari.
No comments:
Post a Comment