Wednesday, September 5, 2012

KIM KADASHIAN AFUNGA NA KUSEMA KWA SASA KITU ANACHOTAKA NI WATOTO NA KANYE WEST NDIO MWANAUME ANAYEONA ANAFAA!!!

Lady in red

Kila la heri wapendanao!!
Mwanamitindo machachari ambaye kamwe hawezi kufisha hisia zake asema kwa sasa kitu anachofikiria ni kuwa na watoto na anaona Kanye West ndio mwanaume wanaendana, Kim Alisema": 'In a perfect world you know when you find someone that you really think is your perfect match.' na alipoulizwa je Kanye West ndio mwanaume anayeona wanaendena alijibu kwa kusema anadhani ndio ivyo. Mbali na kujuana kwa muda mrefu Kim na kanye tangu waanze mahusiano ya kimapenzi sasa ni miezi sita tu,kila la heri Mama.

No comments: