Mwanamuziki na producer anayemiliki studio ya Sharobaro Records, Bob
Junior aka Mr. Chocolate Flava,ameamua kufurahia siku ya ndoa yake kwa mtindo wake wa kipekee kwa kuamua kujumuika na mashabiki wake ndani ya club billcanas ambapo kila mtu anaruhusiwa kuhudhuria.
No comments:
Post a Comment