Ingawa Chris Brown na Rihanna wameachana bado Chris ana emotional feeling kwa mwanadada huyo na familia yake.haya yamedhihirishwa Mapema jana baada ya Chris ku tweet ujumbe hapo chini kwa kifo cha bibi wa aliyekuwa mpenzi wake(Rihhana).
Akiwa katika maombolezo ya kifo cha bibi yake Rihanna alitweet Picha Mbalimbali za Bibi ake hizi hapa.
No comments:
Post a Comment