Wednesday, August 15, 2012

BAADA YA MIEZI SITA KUPITA TANGU KIFO CHA MWANAMUZIKI WHITNEY HOUSTON BOBBY BROWN AANZA MAITIBABU YA KUACHA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA!!

Ilionekana kuwa hata mara baada ya kifo cha whitney kilichotokana na matumizi ya madawa ya kulevya haikuwa sababu ya kutosha kumfanya Bobby Brown kuacha matumizi ya madawa ya kulevya. 


Akiwa na Witney hii ilikua mwaka 1999...Tutakukumbuka daima Whitney kwa sauti yako.

Apa akiwa na mke wakewa sasa
Lakini mara baada ya Ndoa yake ya pili iliripotiwa kuwa mburudishaji huyo mwenye umri wa miaka 43, aamua kuanza matibabu hayo.

Ingawa watu wengi hawaamini maamuzi hayo, mke mpya wa Bobby Alicia Etheridge,alisema kwa sasa Mume wake anaendelea vyema.


No comments: