tabasamu Murua |
akigawa pipi kwa wenzie kwa furaha tele kwa kuja kwao Sala ilihusika kabla ya chochote |
akiwaambia mimi ndio Brenda |
Mpambe wake pembeni ..akimwambia nipo hapa kukusupport |
Brenda alitoa utambulisho wa watu wake wa karibu wote mwenyewe |
Na hawa ndio wazazi wangu...nawependa na asante kwa upendo wetu
Brothers |
Utambulisho ukiendelea |
Mama na mwana
Uncle na Bibi yake
|
Na hawa ndio watu wangu wa karibu katika familia |
Ni upendo zaidi......safiiii sana
Ndio sisi jamani |
waalikwa mbalimbali
wakisikiliza kwa makini kinachoendelea
Tumependeza jamani
kinywaji mlipuko |
Tukakinywa nasi jamani kumtakia maisha marefu zaidi Brenda
Cheers
Bibi pia alikuwepo
Aunty
Hongera mtoto mzuri
Mungu akuongezee miaka yenye afya tele
Ni upendo zaidi
Hongera Brenda
Mungu akupe Afya tele
Keki ndio iyo....Happy Birthday to YOU.......
Mshumaa ukazimwa
kata keki tule
Awwwwwwww rahaaa Happy Birthday to you Brenda
Pata keki yako Brenda |
Wakilishana Keki
Mimi na wewe mpaka siku ya mwisho.........
BIBI pia |
Cousins
Aliwakilisha Majirani wa mama B |
Akiwalisha Marafiki zake keki
Yes I'm 5 to day
zawadi zaidi
Zawadi toka kwa baba
Twasubiri zawadi zaidi
|
Nae aliwapa zawadi watoto wenzake |
Akiwa na Twins jamani hawa ni Marafiki zake |
Kwaitooooo |
wazazi nao wakacheza kumsupport Mzazi mwenzao |
Wakiwashukuru Wote waliohudhuria Sherehe ya kuzaliwa kwa binti yao |
Neno la shukrani likiendelea |
Wakaenda pumzika |
1 comment:
Kazi ilikua sio mchezo, Kwa kweli picha zimetuliaukicheki footnote pia ni za ukweli big-up najua behind kulikua na Editing za kutosha ila Its Inavutia sana, Hongera.
Post a Comment