WASILIANA NASI KWA +255 712222966
EMAIL:imlaki@gmail.com
Wednesday, June 27, 2012
HII NDIO HALI YA Dr ULIMBOKA
kwa mujibu wa mtandao wa Jamii forum Dokta Huyu alitekwa Majira ya saa sita usiku na watu watatu na hii ndio hali aliyokutwa nayo. haya yote yametokea wakati mgomo wa madaktari nchini ukiendelea.
No comments:
Post a Comment