Hivi haya masanduku hadi yamepata
kutu,kulikoni jamani au huduma hii haina umuhimu tena?
Mwanaume hasifiwi kula ila kazi: Huyu
ni fundi viatu maeneo ya Ilala anayekwenda kwa jina la Bashiru Ali.Ametokea
Tanga.Anasema heri kufanya kazi halali.Safi sana kijana!!
Si alidhani chai…Jamaa mmoja ambaye jina lake
halikuweza kutambuliwa mara moja akiwa amezidiwa na pombe mchana kweupe maeneo
ya Kigogo bila kujali usalama wa maisha yakePicha na Silver Leole (SayariMedia)
No comments:
Post a Comment